Utamtoa wapi mwenye sifa zote mkuu?Wote hawavumiliki..
Huo ni Umalaya jamii haiwezi kukupokea mkuu.Kula mzigo
Kataa ndoa
Mmh!! ila mwaname mchafu pia ni kipengere unakuta sahani na vijiko kitandani anashinda nyumbani na chupi ya mtoto kichwani kama kitambaa cha kichwani tangu asubuhi ajatandika kitanda na kubadili nite dress, isipo kua na moyo unaweza kimkimbia pia.Njoo kwangu nina combo ya no 3 na 6[emoji6]
Daahhh huyu masuria watamsaidia kazi😒Mmh!! ila mwaname mchafu pia ni kipengere unakuta sahani na vijiko kitandani anashinda nyumbani na chupi ya mtoto kichwani kama kitambaa cha kichwani tangu asubuhi ajatandika kitanda na kubadili nite dress, isipo kua na moyo unaweza kimkimbia pia.
Warembo wajinga huwataki?Mbaya wa sura lakini mwenye akili
Hata sijawahi kuwaona kama ni warembo mkuuWarembo wajinga huwataki?
Mkuu hizo ni mbomu ukiingia umeenda kujilipua bure, wanawake wasiku hizi wengi ni wa hovyo sana ni kutafuta mwenye unafuu tu angalau ukipata wa 35% kwa malengo yako inatoshaIngia mtaani pisi mbona zipo zimenyooka!
Wewe unaonekana sio Vetran wanawake wako sawa ni tofauti sana tena sana, kuna moja anamdomo kama Radio huwezi kulala akianza kuongea mgine kuoga mpaka umfokea nk.Wanawake wote ni sawa,ni wewe tu ulivyomfunza
Mvivu dawa yake kumtafutia Mercury(Hg) amsaidie kazi za nyumbani.Nani kati yao ana uhafadhari na kumvumilia na kumuoa/kuolewa naye na kwa sababu gani kwa mfano mimi nilioa Bikira ila ni mvivu kupita kiasi hata kusonga ugali wa watu 7 mpaka afu dishwe. Mpaka natamani mchapa kazi hata kama asingekua bikra.
Bikira lakini mvivu.
Mwenye akili lakini si mwaminifu.
Mcha dini lakini mzushi.
Mrembo lakini hajui kusoma na kuandika.
Mbaya sura lakini mwenye akili.
Mwenye msaada lakini mwizi
Mchapakazi lakini mchafu.
Kuwa mkweli, akina mama na akina baba, ili tuone nani mwenye unafu.
Ukiona unashindwa kufanya vetting ya jambo la kawaida kama hilo bas tatizo sio wanawake unaowaokota tatizo ni wewe. Pamoja na kwamba saivi kuna kizazi cha wanawake wa ajabu lakini ukitulia vizuri unaweza okota demu bikra alielelewa na wazazi wote na akawa na tabia nzuri tu japo kasoro za hapa na pale zipo.Mkuu hizo ni mbomu ukiingia umeenda kujilipua bure, wanawake wasiku hizi wengi ni wa hovyo sana ni kutafuta mwenye unafuu tu angalau ukipata wa 35% kwa malengo yako inatosha