Hii kama source yake ni hapa Tanzania tuombe isonwe na wapambe wa Waziri Mkuu wa Uingereza (Bwana Cameron) maana itakuwa ni best advert kuonesha kuwa tuko tayari kwa MPANGO WAKE KABAMBE.....
Nguo imempwaya huyo! ilikua ni style ya mgongo wazi kwa mwanamke nrefu mnene, akaona imempendeza mwenzie, kaazima nguo ila hawana unene na urefu sawa, yeye imemkaa hivo. akome kuazima!