Hii kama source yake ni hapa Tanzania tuombe isonwe na wapambe wa Waziri Mkuu wa Uingereza (Bwana Cameron) maana itakuwa ni best advert kuonesha kuwa tuko tayari kwa MPANGO WAKE KABAMBE.....
Hiyo ni blauzi na si gauni kama alivyovaa yeye. inapaswa kuvaliwa na nguo nyingine chini kama suruali au sketi. sasa mwenzangu na mie kaona kaupatia kweli hiii ni aibu......
Ya camerooni ama ya pungaa,au masaburi kama sikosei..!!!!Yameekaa vizuri lakinnniiii..tehee..Halafu mnasema wanawake wanabakwa...!!!wakati wapo uchi ni kuingiza tuu...