Mambo iko swazi kwa bro Mswat.....nyonyo njenje...,Hvi unawakumbuka bibi zetu(Mrs Kinjikitile Ngwale,,Mrs Mkwawa..,Mrs Mirambo..) Namaanisha wale wake wa machifu zetu wa zamani..,Hawakuwa na utaratibu wa sidiria.,wao walijisitiri maeneo machache muhimu...Mzungu akaja kutubadilisha akili tukaacha utamaduni wetu....,Acha akina dada wapiganie utamaduni wa mwafrika..,turudi tulikotoka..,tusiwaache Makhirikhiri peke yao wafaidi..