Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Serikali inabidi ipige marufuku hawa manesi wa Hospitali za umma kuvaa magauni mafupi wanawatia majaribuni wagonjwa wa kiume. Yaani unakuta nesi anaenda kumhudumia mgonjwa kavaa gauni fupi ana guu la maana laini linang'aa. Sasa huku ni kuwapa majaribu wagonjwa wetu ukizingatia wagonjwa wengine wamekaa hospitali miezi mingi wana ukame.
Nawasilisha kilio changu.
======
Tazama mjadala kuhusu Mada hii ukisomwa JamiiLeo
Nawasilisha kilio changu.
======
Tazama mjadala kuhusu Mada hii ukisomwa JamiiLeo