baunsa wa kike
Member
- Jul 25, 2014
- 83
- 36
Habari zenu wadau wa jf...ivi wabongo mi siwaelewi kwakweli mtu anaenda kwenye interview hata kama ni written anavaa skin tait,jeans, culture ,ivi ni kwamba watanzania hatujui kupangilia mavazi au ni ulimbulikeni? mi ningeomba watanzania tujifunze ukienda kwenye ishu yoyote formal tuvae kiformal hata kama ni written interview tujifunze kuvaa kuendana na occasion .ni aibu.