Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Sure mkuu hawa Polisi na Magamba ni waonevu sana mwaka jana siku ya uchaguzi nilikuwa nimevaa shati ya linen kaki muundo kama wa Chadema, walinizuia mpaka kupiga ikabidi niingie dukani kununua tshirt nyingine ndio nikajpanga tena kwenye mstali.sijui vazi lina uhusiano gani na CDM.
Sasa hapa unajichanganya mwenyewe!! Anyway kuhusu hayo mavazi hao mapolisi na watu wengine wenye mtazamo huo hawaelewi maana yake....kwaiyo hata Mwalimu nae wangemkamata? Kwa maana hizi ndizo zilikua pigo zake!!
.
