mavazi mengeni ya kina dada mhh

Kibelaaaaaaa weeekkkeeeend yangu itakua shwariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
hakuna kitu hapo maana hata mvuto hakuna zaidi ya manyama uzembe.
 
Hakuna sababu ya kuingia majaribuni kwani hata yeye mwenyewe ameshajiona hana thamani ndio maana ameamua kujianika hivyo. Kitu chenye thamani kinatunzwa vizuri. Mungu amhurumie sana.
 
Hivi huyu ni binadamu au jini mikosi! Hata mvuto halina linalazimisha, wanaume hatudanganyiki.

Anatishaaa wee acha tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TAHADHARI!!!!!!!!!!!! Huruhusiwi kuiangalia hii picha usiku unaweza ukakabwa usingizini
 
Hivi huyu ni binadamu au jini mikosi! Hata mvuto halina linalazimisha, wanaume hatudanganyiki.


Kawaida ukiona mtu mwenye akili timamu anafanya hivi hadharani basi ujue ana matatizo ya akili. Watu wengi haswa wasanii huwa hivi, wakiona sifa zinapungua na watu hawawajali basi watatafuta mascandals ili waandikwe magazetini ama kutangazwa redioni kurudisha chati zao. Angalieni kina Wema, Lulu, Mbilikimo Aunty Ezekiel, Baby Madaha na wasanii wengine wa kiume kwa mifano hai. These are attention seekers, na kama watu hawawajali basi wanakimbilia pombe ama drugs kujiliwaza, matokeo yake ndo kama hivi kujikojolea hadharani, kutembea huku chakula ya baba na mwana inaanikwa, ama utakuta mtu mzima anajiliza, kisa hakieleweki ile yeye ndo anajuwa. Pole zao na mashabiki wao.
 
Back
Top Bottom