Mauzo ya Mzize atakayelipwa hela ni Nani?

Mauzo ya Mzize atakayelipwa hela ni Nani?

Nimekudharau mno
Wako waliomdharau hata mungu na kumheshimu Habhinder

Screenshot_2025-08-12-23-37-10-1.png
 
Je ni Yanga, Hersi Saidi au GSM? unadhani ni kwanini?

Taarifa zingine zinadokeza kwamba Timu ya Yanga haina hata Akaunti ya Benki, hata kama wanapaswa kulipwa hizo hela watawekewa wapi au wapelekewe Jangwani?
wanasimba tukianza kuwa na mawazo kama haya msimu huu tutaenda patupu,lazma tuwaze maxi,boyeli,pacome wanakabwa vp
 
Signatories ni kwa wamiliki (wenye akaunti), lakini mtu anayedeposit wala hahitaji kujua hela itakuwa withdrawn kwa utaratibu upi.
Anayedeposit hana matumizi na kadi wala password mkuu, anahitaji jina la acc, taasisi ya fedha na akaunt namba.
 
Ndio maana nikasema wajanja waliokamata klabu wanaweza wakampelekea depositor account ya mtu binafsi
Hahaha, yenye jina la YANGA siyo? Wakati wa ukaguzi itawaletea shida. Unless walindwe na serikali.
 
Je ni Yanga, Hersi Saidi au GSM? unadhani ni kwanini?

Taarifa zingine zinadokeza kwamba Timu ya Yanga haina hata Akaunti ya Benki, hata kama wanapaswa kulipwa hizo hela watawekewa wapi au wapelekewe Jangwani?
Ww jamaa ni mpumbavu sana, ila anyway vp mumeo mstaafu anaendeleaje huko?
 
Back
Top Bottom