LopoLopo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2025
- 229
- 135
Wakati Rais Samia anaingia madarakani mapato ya mauzo yatokanayo na gesi asilia yalifikia $55.12milioni sawa na TZS.143,313milioni Mwaka 2024 yameongezeka na kufikia $144.10milioni au TZS374,660milioni sawa na ongezeko la $88.98milioni sawa na TZS231,348milioni ambayo ni 161%.Hii ni karibia mara mbili ya uzalishaji wa mwaka 2020 ni mara tatu ya mauzo ya mwaka 2015 ambayo yalikua ni $45.7milioni, Hiki ni kiashiria kuwa Rais Samia na mpango wake wa “nishati safi kwa wote” umeanza kueleweka kwa Watanzania walio wengi