Mauzauza

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
463
Reaction score
319
Mambo vipi,

Kuna jambo linanitatiza nikaona sio vibaya tuka share pamoja jioni hii maana kwenye wengi kuna mengi,nipo na mpenzi wangu nampenda sana juzi nimeenda kumsaliamia kibandani kwake kabla sijashuka katika usafiri nikamwona kwa mbali yupo na jamaa flani wanaongea huku wakicheka nikashuka tukasalimiana then nikaondoka kuendelea na shughuri zangu.

Baada ya mwezi mzima kuna kifaa nilisahau pale kibandani kwake nikawa nimeenda kukifuata ile naingia tu namkuta yule jamaa akitoa huduma nikamuulizia huyu dada kaenda wapi akadai hayupo nikaondoka, baada ya kufanya uchunguzi nikagundua wana mahusiano ya karibu, baada ya kumuulizia akadai ni rafiki yake nikaona nafanyiwa uswahili kweli.ila kitu kingine kinacho nikwaza me ndo nilikua wa kwanza kwake nikama tumefanya maagano vile.

Au nipige chini wakuu
 
Mkuu kama ni mpenzi na sio mke na zaidi umesema kwamba ulifanya utafiti na kugundua kuwa wana mahusiano...sasa hapo mbona haina haja ya kuomba ushauri wa kumwacha? Si umeshajua wana mahusiano? Na jamaa huyo anajiamini kabisa.We tulia utampata wako aliyetulia.

NB: Huyo sio mchumba wala mkeo ni mpenzi tu.
 
Mkuu nini tatizo K zote unakaa kuwazia mtu anamtu hata ukimuweka moyoni atakudis once
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…