Makoye gete wakong'wise. Gawiza ulemhola aheneneyo makoye duhu! madelagawiza!
na hivi visu havina kuandikisha.... Tufwile wachaga. Yaani tikujikoma ourselves... Imbombo ngafu mwavayanguDoh, mkidhibiti bastola watatumia visu.
Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.
Sasa kweli wachaga mapenzi sio FANI yao. kina dada jihadharini na wachaga wenye majina ya M, alianza
Mushi
akafuatia
Munisi
na sasa
Michael... mapenzi yana run dunia..
Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.
Tema mate chini.. Omba yasikukute haya mambo.
Makoye gete wakong'wise. Gawiza ulemhola ahene
Oleweni na wamakonde... Hawa wachaga wenzenu watawamaliza huku mkijiona...
Na hata ukikimbia yatakukimbilia au ukichoka kukimbia utaanza tena kiyakimbilia!!!