Mauwaji ya kinyama Moshi

Mauwaji ya kinyama Moshi

Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.

Ndugu zangu wachaga nawajua vizuri,nimeishi nao,asilimia 90,ni wagonjwa wa akili,wanaugua ugonjwa wa chemba moyo.
 
Michael Alphonse (28) wa Himo, Moshi aliyemchinja mkewe usiku wa leo yuko mahututi hospitali KCMC baada ya kujaribu kujiua kwa kunywa sumu.

Bahati mbaya sana alikuwa hana cha moto, mambo ya sumu yamepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom