Mauwaji ya kinyama Moshi

Mauwaji ya kinyama Moshi

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.
 
Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!!
Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi.
 
jamani ni nini? aya mapenzi ni ya kukimbia kama ukoma....
 
Tumuombe Mungu, mauaji yasizidi yale ya ajabu yanayo tokea Mbeya kila kukicha.
 
Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!!
Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi.
Michael Alphonse (28) wa Himo, Moshi aliyemchinja mkewe usiku wa leo yuko mahututi hospitali KCMC baada ya kujaribu kujiua kwa kunywa sumu.
 
Haya mapenzi ya siku hizi yamezidishwa utamu au mbona yanawetesa wanaume hivyo?
 
Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!!
Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi.

Sasa kweli wachaga mapenzi sio FANI yao. kina dada jihadharini na wachaga wenye majina ya M, alianza
Mushi
akafuatia
Munisi
na sasa
Michael... mapenzi yana run dunia..
 
Smile wee Dawa ya Roho yangu, kimbia huko kwenu. SIKONGE hauwi wala hajiuwi mtu.
 
Last edited by a moderator:
wachaga kimetusibu nn?
Mbona hivi jmn?
 
Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.

Doh, mkidhibiti bastola watatumia visu.
 
Huko huko kwa kina munis na ufooo inabidi ufanywe utafiti wa kina! Wachaga : mapenzi mauaji= tupate jibu hapa?
 
Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.

wachagga wamekuja juu kimapenzi.
 
Back
Top Bottom