Mautundu ya Computer HAYA

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,287
Samahani kama ilishafika hii trick hap jf ila kama bado basi acha niwape hii
click Start menu then RUN
Type ... then enter (what happened
au kisha andika hivi .. then enter
au hivi . then enter

ukiandika hizo dot 3 itafunguka my computer
ukiandika hizo dot 2 itafunguka document and settings
 
mwaga zingine mkuu
 
Hii ni sababu ya root directory ya windows ina anzia kwenye platform ya windows 95.
 
Hii ni sababu ya root directory ya windows ina anzia kwenye platform ya windows 95.

kwa hiyo inakuwa ni sawa na kuingia kwenye menu ya simu ya nokia na kuanza kuandika namba ili iweze kufungua kwa mfano create new sms au gallery na mengine mengi tu..
 
weye c kweli mbona mimi nikitype inarum mozila firefox? natumia windows 7.
 
Samahani kama ilishafika hii trick hap jf ila kama bado basi acha niwape hii
click Start menu then RUN
Type ... then enter (what happened
au kisha andika hivi .. then enter
au hivi . then enter

ukiandika hizo dot 3 itafunguka my computer
ukiandika hizo dot 2 itafunguka document and settings
Hiyo hata ukiclick dot zote mpaka mwisho lazima ifunguke my computer!!
 
kwa mtu yoyote anayetumia windows njia ya faster kufungua my computer click windowsbutton+E ..natumaini mmenisoma....mkitaka vingine msisite kuusema
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom