Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Acha uwongo. Nimekaa siku kadhaa Dubai wakati wa mfungo, sikushuhudia huo ujinga.

Hakuna airport yenye duka kubwa la vileo na wateja wengi, kama Dubai, jambo ambalo sikulitarajia.
hebu nenda basi huko Dubai ukajaribu hata kukamatana mikono na mwenza wako huku mukibusiana uone kama utarudi salama.
 
Je unajua kwamba zanzibar imekuwa ranked as best island destination duniani 2024???
Na unajua kwamba data za mleta mada kwamba mauritius inapokea watalii 3m kwa mwaka ni uongo??
Huwezi kuilinganisha Mauritius na Zanzibar hata siku moja kwa kupata watalii. Data siyo za kweli Ila wanatuzidi. Hata maendeleo wako mbali
 
yaani zanzibar haifai kulinganishwa na chochote. mauritius hawarushi mabom ya petroli kwenye makanisa, sio mashoga, hawana vigodoro, wanaenda shule hawapotezi muda madrasa, pia wana akili sio mambumbumbu.
 
Mauritius in nchi ya kistaarabu sana haina ulimbuken kma wa zanzibar kujifanya waislam safi, mnapiga mtu kisa amekula hadharan wa ramadhan, mna ubaguzi kwa wasio waislam mnaona sio watu sahihi, kiufupi misimamo mikali ya kidin na utalii haviend pamoja pia udini na umasikin vinaenda parallel
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.
Kuna ujinga ZNZ unaendekezwa sana hasa UISLAMU. Dini ni kitu binafsi lakini ZNZ wanataka kila aliye ZNZ afuate dini yao. Kwa mfano kula chakula wakati wa mwezi wa Ramadhani inaonekana ni jinai. Ujinga huu ndiyo mje mfanane na Mauritius?

Miaka 2010-2014 kabla JK hajakamata wale Uamsho akina Sheikh Farid na Mselem, wahuni ZNZ wallikuwa wanachoma makanisa na kuua mapadri, halafu ndiyo uje ufanane na Mauritius?? THUBUTU
 
Umechoka na Samia anauza bandari unakuja na uamsho ??

Wadanganyika mumechanganyikiwa
 
Akuna cha ubaguzi, sijui dini kujiona wao waislam sana.. Kinachowaangusha n utawala mbovu n viongozi weng n waroho bac
Hivi kuna wabaguzi kama Wajeruman mbona nchi Yao iko vizur.. Amna lolote utawala tu hauna dira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom