Kifuniko Member Joined May 20, 2011 Posts 97 Reaction score 18 Jun 8, 2011 #1 Muumini kaenda kwa padri kuungama dhambi zake, Padri: Umefanya kosa gani mpaka umekuja hap kuungama Kondoo: Nimekua nikichat meseji za matusi na wake za watu Padri : Sauti ya chini kabisa nifowardie kwanza kabla hujazifuta Kondoo: Ha ha ha
Muumini kaenda kwa padri kuungama dhambi zake, Padri: Umefanya kosa gani mpaka umekuja hap kuungama Kondoo: Nimekua nikichat meseji za matusi na wake za watu Padri : Sauti ya chini kabisa nifowardie kwanza kabla hujazifuta Kondoo: Ha ha ha