Kornel Prosper Latonga
Member
- Jan 10, 2016
- 5
- 5
Ha-ha Alikuopolea MUME nini? Naona una mua attack sanaNONE OF UR BIZZ KWANI HUO MZIKI AMEIMBAJE KWENDRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA KAKOJOE ULALE HETA NDO UCHAFU GANI MALIZA HOME WORK NYAMBAFU WEWE KAMA JITU LINAIMBA UCHI LISIAMBIWE MAMAMAE ZAKO
U never know...Ha-ha Alikuopolea MUME nini? Naona una mua attack sana
Nani kasema Maunda hajui.?!huyo flora ajui muziki, maumda ni hatari
Uwe na Adabu sijui shishi boy sijui kiyunani wajiitaUkubwa wa mwili lakini akili size ya diclopa
'Mapenzi ya wawili' Huo wimbo mpaka leo nausikiliza. Ni mzuri sana....unazama mpaka moyoni. Nyakati sijui zimeenda wapi.... Nakumbuka kalipokuwa jitegemee, kembamba kazuri kazuri.Kuna ule wimbo nadhani unaitwa "mapenzi ni ya wawili" ulinivutia kabla hata ya kujua kuwa aliimba yeye
Maua Sama anaweza japo nimezisikia ngoma zake mbili tu
Huku sio facebook wala insta heshima yako hupimwa na kauli zako mama tumia lugha nzuri tu haukuwa na sababu ya matusiLast Activity:
19 minutes ago
Joined:
Sep 22, 2015
Messages:
80
Likes Received:
5
Trophy Points:
8
HUYU SI WA SHULE HUYU NDOOOOOOROBO KABISA
Kwa upande wangu jide yupo level ya juu sana.
Kisa wewe maskini, wala huwezi kuwa nami'Mapenzi ya wawili' Huo wimbo mpaka leo nausikiliza. Ni mzuri sana....unazama mpaka moyoni. Nyakati sijui zimeenda wapi.... Nakumbuka kalipokuwa jitegemee, kembamba kazuri kazuri.
Nafurahi kuwa naweKisa wewe maskini, wala huwezi kuwa nami
Marafiki wanahoji kwamba wee utanipa nini
Jibu lao ni moja, kwamba nahitaji penzi
Bila shaka ni la dhati, lisije leta mauti. .....
Daah sijui atarudi tena maskiniNafurahi kuwa nawe
Hilo nataka uelewe
Kwamba mapenzi ni ya wawili....
Wewe kwangu ndio mfalme
Nifanye niwe kwako wako malkia
Kwa penzi lako naahidi kukutumikia....
Dah....that melody....
Naamini akiamua anaweza kurudi. Hajachelewa bado. Hata umri bado unaruhusu.Daah sijui atarudi tena maskini
Yeah sure, akijipanga vizuri atarudi tu na tutampokea vizuri tuNaamini akiamua anaweza kurudi. Hajachelewa bado. Hata umri bado unaruhusu.
Daah nimeamini kumbe bado tupo wengi tuliommisi maunda zorro..,....basi kama anasikia au anapitaga uku jamii forum ajaribu kutafakari we need herYap alikuwa anajua sana kuimba, zile nyimbo zake mbili 'Mapenzi ya wawili', na 'Niwe wako' ni extraordinary
Daah nimeamini kumbe bado tupo wengi tuliommisi maunda zorro..,....basi kama anasikia au anapitaga uku jamii forum ajaribu kutafakari we need her
Maua sama na Grace matata nawaelewa sana Douta
Anatumia ngada huyu nasikia..Kurudi sijui..Labda kwa kubip..Ila sio kama zamaniYeah sure, akijipanga vizuri atarudi tu na tutampokea vizuri tu