Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 47
- Thread starter
- #21
kaka nikikaa na jamaa zangu wanasimuliana kuhusu demu zao nahisi upweke.
Dogo soma kwanza mapenzi kwako usiyape nafasi kwa sasa, ukiona mapenzi ni bora pouwa kwani div FIVE nayo ipo..........!!!!Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala
Kwenye kiswahili hatuna "Munisaidie" kijana soma wanawake wapo tu,tumia wakati vizuri ilibidi uwe chuo kwa huo umri
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mtihani wako wa necta lini?
Hili toto n jinga sana kma mnakumbuka lilikuja na uzi wa kutaka nunua android kwa sh 8000,week mbl zlzoisha leo tena limekuja na uzi mwngne wa ktoto,pumba......za Vu zake peleka fb mawazo mgando yako hayo form six gan hujui kiswahili?
Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala
mbona mie mchagga na nawatusua vilivyo....wewe utakuwa mchaga ndio maana wanakuogopa mboni safooo mushi,itabidi ubadilishe kabila meku.
soma kwanza.masomo ndio kila kitu.mapendi yapo kila sikuMimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala