Maumivu

Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala
Dogo soma kwanza mapenzi kwako usiyape nafasi kwa sasa, ukiona mapenzi ni bora pouwa kwani div FIVE nayo ipo..........!!!!
 
wewe utakuwa mchaga ndio maana wanakuogopa mboni safooo mushi,itabidi ubadilishe kabila meku.
 
Ingekuwa mimi ndio wewe ningesoma kwa bidii zangu zote maana hao waliowajanja wa sasa baadae wengi wao watakuja kuwa si lolote si chochote kwangu.

Mchezo wa kujichua uache kama unataka mafanikio ya kweli maishani mwako.
 
Hili toto n jinga sana kma mnakumbuka lilikuja na uzi wa kutaka nunua android kwa sh 8000,week mbl zlzoisha leo tena limekuja na uzi mwngne wa ktoto,pumba......za Vu zake peleka fb mawazo mgando yako hayo form six gan hujui kiswahili?
 
Aaaaahaaa,Android kwa Elf8 nmecheka sn dah
 
dogo piga kitabu kwanza,.

Kumbuka umesema unatokea katika familia maskini,..
 
Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala

yaani wewe hii miezi sita ilobakia baada ya kuongezewa na Mulugo badala ya kusoma kwa bidii ili maisha yako yasiwe magumu mbeleni wewe ndio waanza kuyafanya yawe magumu mapema kabisa!!
kwani mapenzi ni fasheni? hiyo kitu ipo na bado itaendelea kuwepo. soma, tafuta pesa kwanza then hao mabinti watakuja in a blink of an eye of yours.
mi nilijua kuwa muda huu utakuwa jukwaa la elimu.
haki ya Mungu ningekuwa mode mimi ningekupiga ban jukwaa hili.
haya potea mbio kwenye jukwaa la Elimu
 
Kwanza huna adabu kwa wanawake, pili soma kwanza maana kama uko form six na umri wako ni miaka 22 umechelewa sana..zingatia masomo hayo mapenzi baadae.
 
unajua kaka kinachonichanganya ni tendo lenye sijawahi kufanya ile shauku ya kulijua lilivyo inanchanganya hakri
 
Stop wasting your time chasing people do the right thing and people will chase you
 
Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala
soma kwanza.masomo ndio kila kitu.mapendi yapo kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom