maumivu


sifahamu alafu huwa cigusi simu yake madhara yake nayajua
 
Mkuu the plain Truth; huyo mwanamke anakusaliti!

lakini pia anamsaliti one love .......

kwa hiyo amekudaaaaaanganya....
amewadanganyaaaaaaaa!
hahahaha mapenzi ni Ungese kabisa
 
nina malengo naye mazuri sana kwani yeye anahitimu chuo mwakani sasa nikawa nikaamua kumlipia fremu ili atakapo maliza awe na kazi ya kufanya

Huyo dada hajajua ni nini anataka!!!!!!!au ameshaona wee unampenda saana

so she take you for granted ndio maana hata sim imeita vile lakin kaanza kukwambia huniamin

as if wewe ndio mwenye kosa vile!!!!!!!!
 

Mkuu Heaven on Earth, wasi wasi wangu atakua hajasave jina la jamaa, ili simu ikiita akiwa na one love anamwambia "baby namba ngeni hua cpendi kupokea" then anaikacha..............

nataka kulewa -Diamond
 
Mkuu Heaven on Earth, wasi wasi wangu atakua hajasave jina la jamaa, ili simu ikiita akiwa na one love anamwambia "baby namba ngeni hua cpendi kupokea" then anaikacha..............

nataka kulewa -Diamond

Hahaaaaa I cant imagine hiyo kitu...........

naweza kujongea hayo maeneo tulewe wote.............maana jua lilivyo kali leo
 

Atakuwa amem save Number 2. lol
Mtoa mada ulishaona dalili ya kusalitiwa kabla ya tukio hili? Fuata ushauri wa lara 1 hapo juu na mkivuka salama harakisha mambo bwana,nani anataka uchumba ndugu siku hizi? 4yrs!
 
Last edited by a moderator:
Katika hili fanya jambo moja tu: shirikisha akili, mwili na roho yako utapata jibu sahihi! Pole sana, najua inauma!
 
^^
Mapenzi ya vyuo vikuu bado mnayategemea??
Be brave man..utaumia Mara mia upate aliyemaliza chuo kuliko aliyeko huko au anaenda huko.
WATU NA AKILI ZAO WALISHALIA WAKATULIA
^^

Teh teh teh, mi nacheka tu leo
 

Like like like!
..ikiwezekana piga kimya kabisa usianze kumuuliza,cjui y,baby,ckuelewi!! Piga kimya usimtafute(inauma) ila ww mwanaume jikaze!
Then utaona reaction yake ndo utajua km una umhim kwake au lah!
..ktk hali ya kawaida hawezi aka walk away simply lyk that km ww kwake kweli ni mtu mhimu!!haiwezekani!
...kosa lake ila kakugeuzia kibao!!chezea wanachuo ww!ndo maana Himidini hawataki
cc:himidini
 
Inawezekana huyo mwingine 'ONE LOVE' ana miaka sita ...nae anadanganywa kama wewe ila hajashtuka bado.
 
inaweza kuwa one love ni mama yake au dada yake. Hahahaha. Ila subir kdogo...umesema anasoma, wewe unafanya biashara na frem umemuwekea bado ana "one love"!! JICHUNGULIE
 
nina malengo naye mazuri sana kwani yeye anahitimu chuo mwakani sasa nikawa nikaamua kumlipia fremu ili atakapo maliza awe na kazi ya kufanya

Masikini ....
Pooole!

Ni dalili kuwa kuna mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…