Maumivu ya shingo gesi kupanda shingoni

Maumivu ya shingo gesi kupanda shingoni

Winniek

New Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
4
Reaction score
2
Hello wanajukwaa, nimekuja ndugu yenu ninahitaji msaada wenu.

Mume wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka sasa na ameshatumia dawa za kila aina. Changamoto ya sasa anasema anapata maumivu shingoni, kuna muda mdomo unakuwa mchachu kama ana homa.

Kaenda hospitali, kapigwa X-ray na ultrasound akaambiwa hana shida na gesi kwenye tumbo hamna. Akaenda kwa daktari wa koo na pua, akaambiwa ni gesi imepanda ndiyo maana inamletea shida hiyo.

Akapatiwa dawa aina nne kama si tano, lakini baada ya kumaliza dawa, ile hali imeanza tena. Leo kaenda hospitali, kaambiwa akamuone daktari wa mifupa.

Kiukweli hali yake inaniumiza sana kwa sababu anakuwa hana amani. Naomba msaada kama kuna mtu alishawahi pata changamoto hii au mwenye kufahamu ni nini alifanya au nini nifanye.

Asante.
 
Azingatie aina za vyakula
 
Hili tatizo linawasumbua wengi na linnatokana na lifestyle na nimeeleza maranyi humu ni PM niweze kukupa muongozo wa lishe na tiba na akifuata maelekezo basi ndani ya wiki ataweza kupata nafuu kubwa na ndani ya mwezi atakua amepona kabisa. Kikubwa ni nidhamu yakufuata maelekezo kipindi cha tiba.
 
Aisee asante sana
 
Back
Top Bottom