Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Kama kichwa cha habari kinavojieleza napata maumivu ya viungo vya mwili vinauma sana na kusababisha misuli yote ya tumbo inauma mbaya.
Je kuna dawa ya kuchua au nifanyaje haya maumivu yaishe?
Je kuna dawa ya kuchua au nifanyaje haya maumivu yaishe?