Maumivu ya miguu msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya miguu msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by Jidu, Aug 1, 2011.

 1. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,122
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Wife amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuumwa na miguu sehemu ya kukanyagia tokea ajifungue kwa Upasuaji zaidi ya mwaka sasa.miguu huwa inauma hasa wakati wa asubuhi ama akikaa muda mrefu bila kutembea.tumejaribu kumuona surgeon kwa kuangalia tatizo lake labda limetokana na upasuaji aliofanyiwa ,akasema anaupungufu wa calcium lakini tumeendelea na matibabu ya vidonge vyenye madini ya calcium na mchanganyiko wa madini mengine bila mafanikio sasa.naomba ushauri kwani kila kukicha ni malalamiko,wapi naweza kupata Mganga (Doctor) bingwa akani saidia hili tatizo likamuondoka na pia huwa inasababishwa na nini hasa?
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,674
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Nitarudi ngoja Drs waseme neno kwanza.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,990
  Likes Received: 3,547
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mkuu Jidu Mwambie Shemeji ajipake Hina kwenye sehemu zinazo muuma nyayoni itamsaidia kuondoa Maumivu ya miguuni sehemu za nyayoni ajipake Hina kila Wiki mara 2 kisha unipe FeedBack matokeo yake
   
 4. k

  kamili JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Mpe pole, mkuu hukufafanua miguu inaumaje, (inawaka moto?, inachomachoma?inapwita kama jipu? maumimivu anayahisi kwenye ngozi au ndani kwenye misuli au ndani kabisa kwenye mifupa? je kuna wakati inakufa ganzi na hivyo kuhisi kama vile inamatope?) Hayo ni mambo ya muhimu kufahamu.
  Hata hivyo kwa shida hiyo hukupaswa kwenda kumuona surgeon hiyo shida haihusiani kabisa na surgeon. ulipaswa umuone physician huenda mke wako akawa na ugonjwa unaoitwa peripheral neuritis, na hausababishwi na operation aliyofanyiwa. Ni ugonjwa unaowapata zaidi akina mama na hasa wenye umri zaidi ya miaka 30 japo hata chini ya hapo inawezekana. Kama utakuwa ndio wenyewe unatibika japo itampasa atumie dawa kwa muda mrefu labda miezi mitatu. Nakushauri kamuone Physician.
   
 5. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
Loading...