Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 298
Hapo penye bold nakubaliana na wewe Kongosho lakini kuna changamoto moja kuwa kama mmoja yupo kimaslahi na mwingine ndo keshafika, aliyoko kimaslahi ndiye ambaye hawezi kuumia, lakini yule aliyejiona ameshafika ndiye anayekumbwa na mkasa wa majeruhi wa mapenzi .....
Swali: Tunakuwa hatufahamu ukweli tunapoingia ktk mahusiano? Kuna namna ya kuepukana na hii hali? Nini cha kuzingatia tunapoanzisha mahusiano yanayoweza kutupeleka kwenye ndoa?
hebu niambie nini cha kuzingatia manake kuna mtu nadhani kama ananichomesha mahindi tu