maumivu ya magoti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maumivu ya magoti

Discussion in 'JF Doctor' started by Raia Fulani, May 18, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hi, nina ndugu yangu, umri umekwenda, yuko 50+ sasa anasumbuliwa sana na maumivu ya magoti. lipi suluhusho katika hili na ni wapi anaweza kupata tiba bila longolongo? na tatixo linasababishwa na nini? kuna virutubisho anaweza kula tatizo likaisha?
   
 2. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  toa maelezo ya kutosha ili tukusaidie hapahapa jamvini,katika maelezo yako ya hapo ni umri tuunaweza saidia kufanya diagnosis,vingine vyote porojo.Toa vizuri maelezo yako mfano muda wa tatizo lilipoanza,linamuathiri kiasi gani,aliwahi enda hospital au laa ,aliwahi tuma dawa au laa,kama alitumia dawa gani,kama kuna historia yeyote ya hilo tatizo ndani ya ukoo/familia yake etc.Hayo yatasaidia sana

  ndimi kiroboto
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kama mpenzi wa kula nyama ya mbuzi mwambie aache, kuna baadhi ya watu wakila mbuzi wanaumwa magoti.
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ukweli ni kwamba keshahudhuria hosp kadhaa na kupata dawa ila nadhani hajapata tiba sahihi. Magoti yanamuuma zaidi wakati wa kuinuka. Pia yanamsababishia kuumwa mwili. So ni wapi specifically anaweza kupata hiyo tiba
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ushauri mzuri pia, ila pia inategemea na historia ya ujana wake
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2013
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mkuu vp? ulifanikiwa kupata dawa? Naomba uniambie make kuna ndugu yangu anamaumivu kama ulivyoeleza.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Anapaswa kwenda hospitali na afanyiwe vipimo. Kuna xray na pia vipimo vya damu. Hizi ramli za jf zitawaponza..
   
 8. REX

  REX JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2013
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna haja ya vipimo hilo tatizo linaeleweka ni age related you need more of the clinical history and we collerate it with the american college of rheumatology criteria to reach the diagnos huyo anahitaji suppliments chondroitin sulfate, lincosamide, hyarulonic acid methyl sulfonyl methane,cyanocobalamine and calcium.jamii huwa inatupotosha dawa za hospital tulizonazo zinatuliza maumiv haziponyi ila nilizoziandika hapo juu ukitumia hautakaa usikie tena hilo tatizo, tafuta zitumie na tuletee ushuhuda hapa.ukikosa pm nikuletee.
   
 9. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2013
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280

  Mkuu upo wapi?
   
 10. REX

  REX JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2013
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nipo kcmc mkuu.
   
 11. a

  azee Member

  #11
  Jun 21, 2013
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Kuna dawa inaitwa Shark Cartilage Softgel Capsule, itamsaidia kurudisha fluidity kwenye magoti na vingi, see specifications below:

  Function: 1. Increase osteoarticular flexibility and help to normalize joint metabolism.
  2. Supplement nutrition for articular cartilage, promote regeneration of articular cartilage. The rich viscous polysaccharides can rebuild joint cartilage and prevent degradation.
  3. Promote the production of synovial fluid and reduce joints friction.
  4. Eliminate inflammation and alleviate such symptoms as swelling, stiffness and numbness.
  5. Inhibit angiogenesis protein and eliminate the abnormal growing microvascular in cartilage.
  6. Smoother and tighten the skin, because of the collagen protein.
  [h=3]Suitable for:[/h] 1.All kinds of arthritis;
  2.Cartilage problems, degradation of joint cartilage, Cartilage & ligament damage;
  3.All kinds of bone diseases such as cervical spondylosis, gout, lumbar disc, hyperostosis, bone spur and fracture etc.
  4.Women in menopause period
  5.Population who wants to smoother and tighten the skin
   
 12. njechele06

  njechele06 Senior Member

  #12
  Jun 21, 2013
  Joined: May 21, 2013
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu nina jamaa yangu miaka 27 anasumbuliwa na uvimbe kwenye joints pamoja na maumivu,inasemekana ni rheumatoid arthritis ni mwezi wa tatu sasa tunahangaika nae moi,Hivi nini chanzo cha tatizo hilo na ushauli unaweza funguka mkuu
   
 13. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #13
  Jun 21, 2013
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu, inafaa kujua history yake ya maumivu hayo kabla yu kujua ni tiba gani inamfaa. Mimi si Daktari ila ninapenda saana kujielemisha juu ya tiba mbadala hasa chakula.

  Moja ya sababu ya tatizo la magoti inaweza kuwa ni wingi wa uric acid kuwa nyingi na hii inaweza kusababishwa na matatizo ya figo. Matatizo ya figo yanaweza kusababishwa na pressure ya muda mrefu. pressure inasababishwa na mafuta na chorestral nyingi ambayo hiyo inasababishwa na vyakula visivyofaa na life style. Unaweza kutembelea: Mafanikio Na Afya Njema.

  Kwa habari ya gouts haya ni maelezo yake. Nimeweka kimombo maana wasomaji si Watanzania peke yake. Kama baada ya kusoma hujaelewa, nijulishe nikufafanulie:

   
 14. REX

  REX JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2013
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Is it bi lateral or ni upande mmoja, ni mara chache sana umri huo kuwa na huo ugonjwa fanya uchunguz wa kutosha
   
Loading...