tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,061
Poleni na majukumu,
naombeni msaada wa mawazo na ushauri tafadhali,
mimi baada ya kujifungua kwenye magoti ndani ya zile nyama huwa nina hisi maumivu saa hasa pale ninapopiga magoti mf. Wakati natandika kitanda nahisi maumivu katikati ya zle nyama za magoti,
nilikwend hosp nikapew dawa ya kuoaka lakon haijaisaidia ,nikafikiri nina shidaya mifupa nikaenda hospt nikkutwa sina tatizo,
je!kuna mtu alishawahi mu experience tatizo kama hili baada ya kujifungua?madaktari wa hhku naomben ushauri niende kwa dr wa nini labda anipe matibabu maana naona inanipa mawazo .
nina mwaka mmoja na nusu tangu nijifungue.
asanteni sana