Maumivu ya kugundua mkeo aliwahi kutoa Mimba

Mm nawazoom tu na kuwacheka huku nikinywa Azam cola yangu baridi
 
Sasa kutoa kwake mimba kunahusiana vipi na kazi?
 
'Alishakiri na kuomba msamaha na wewe ukamsamehe,halafu unashindwa kutoa hayo maumivu moyoni',kifupi ni kuwa bado hujamsamehe...
 
Alitoa mimba sio yako???


Mmeshazaa ????
 
Ulimuuliza mambo ya past ya nini, ukimchunguza sana bata hutamtamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa kweli umejitakia na pia unakosea sana kumuhukumu mkeo kwa mambo ya kale, ulidadisi ya nini, mkeo ni huyo uliokuw nae sahivi na sio yule wa zama za kale, jitambua kijana, wewe usijihesabie haki huenda una madhaifu yako lakini hayajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia binafsi mwanamke mtoa mimba namuona ni mkatili, wanasema mwanamke akitoa mimbo basi anakua na roho ya kuua inamvaa na huoni chochote akifanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeenda buchani ukanunua nyama ni ya ngo'mbe sasa baada ya kula unaanza kufuatilia alichinjwaje huko ni kupoteza muda. We umegundua kuwa alitoa mimba ili kutozaa kabla ya ndoa vipi km ungegundua alifumuliwa marinda ili asipate mimba kabla ya ndoa km wale wa mji fulani nalo lingekuuma?. Let the past be the past, achana na makaburi.
 
Wakat anatoa izo mimba hakuwa kwenye maisha yako huwez jua sababu ilikuwa nni

Wakat unamuoa ulikuta sio bikra Io inamaan aliwahi kuwa kwenye mahusiano na kwenye mahusiano lolote laweza kutokea ikiwepo mimba isiotarajiwa


Cha msingi anakupenda unampenda na tukio Hilo la kutoa mimba halijaathiri kupatika kwa mimba nyingne
 
Kimsingi ukijua katoa mimba kabla hujamuoa Usioe ila ukija baada ya kumuoa kubali kulibeba....

Siku hizi inataka kufanywa kama ni kitu cha kawaida ila sio kitu cha kawaida kabisa

Hili ni waambie wanawake kutoa mimba sio tukio la kibinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…