Maumivu ya jino

mikumiyetu

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
1,311
944
Mmeamkaje wandugu usiku mzima leo sijalala kwa raha kutokana na maumivu ya jino, jino lenyewe limetoboka. Ushauri wenu nikienda kuliziba maumivu yataisha au nikaling'oe tu?
 
Nina magego mawili yametoboka moja juu na jingine chini. Gego moja limemeguka vipande upande mmoja lishaisha na gego la chini limetoboka na huu ni mwaka wa pili napeta nayo nakula chochote pasipo maumivu yeyote.

Dawa niliyotumia ni mkojo wangu ulionitibu.

Nakushauri uamkapo nawe asubuhi mkuu mkojo wako wa kwanza kabla yakuweka chochote mdomoni , sukutua kwa mkojo wako huo kwa muda wa dk 5 kwa siku 3 mpaka 5 hakika tatizo litakwisha.

Unaposukutua jitahidi kuuzungusha mkojo katika kinywa kila sehemu. Ukimaliza unatema baada ya dk 10 safisha kinywa kwa mswaki na dawa.
 
Nina magego mawili yametoboka moja juu na jingine chini.
Gego moja limemeguka vipande upande mmoja lishaisha na gego la chini limetoboka na huu ni mwaka wa pili napeta nayo nakula chochote pasipo maumivu yeyote.
Dawa niliyotumia ni mkojo wangu ulionitibu.

Nakushauri uamkapo nawe asubuhi mkuu mkojo wako wa kwanza kabla yakuweka chochote mdomoni , sukutua kwa mkojo wako huo kwa muda wa dk 5 kwa siku 3 mpaka 5 hakika tatizo litakwisha.

Unaposukutua jitahidi kuuzungusha mkojo katika kinywa kila sehemu.
Ukimaliza unatema baada ya dk 10 safisha kinywa kwa mswaki na dawa.
Dhuu asante mkuu kwa ushauri
 
Kama limetoboka bora ukalitoe huwa kuna wadudu wanashambulia hapo kwasababu kuna mabaki ya chakula huwa yanabaki kwenye kishimo na baadaye kinywa huanza kutoa harufu mbaya.
 
Back
Top Bottom