Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
Mke wangu hupatwa maumivu makali wakati kuingiza uume, na wakati wa tendo lenyewe , anasema hadi kiuno pia kinamuuma sana, pia mashavu ya uke yanavimba kwa muda huo wa tendo baadae yanarudi kuwa kawaida.
Tumejaribu kupima mkojo ,hana fungusi wala uti , tangu awe na ujauzito wa mtoto wetu ambaye ana mwaka na nusu sasa.
Tumejaribu kupima mkojo ,hana fungusi wala uti , tangu awe na ujauzito wa mtoto wetu ambaye ana mwaka na nusu sasa.