Maumivu saba

namba 7 hatari sana,ilinikuta kama Mara mbili hii weeee
 
Namba moja nayaelewa maumivu yake mtu mzima unaweza kuchuchumaa kwa muda kwanza kisha ndio uendelee na shughuli nyingine.

Ninachopenda maumivu yake ni ya muda mfupi tu lakini cha moto unakisikia
 
Kutahiriwa bila ganzi

Kuchomoa mwiba uliongia mguuni

Kukamuliwa jipu uchungu

Kukabwa na mwiba wa samaki kooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…