Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

Comments zinanisaidia kufanya situation analysis ya ndoa za contempolary. Sub-themes ntajua mwenyewe kwa kuangalia key words za comments. Hasira ndani ya comments zinafikirisha sana
 
Duuh pole sana , huyo ni mwanamke au janga LA taifa , achana nae aisee
 
Ushauri niliofanyia kazi ilikuwa wa @Ugumu wangu ambae alinishauri nitenge muda wa kukaa na yule mwanamke then nimuulize kama ana malengo gani na Mimi na je, anaweza kuachana na huyo jamaa anaetaka kuanzana nae au lah?
Kosa lako lilianzia hapa!!!!!
Umuulize mwanamke ana malengo gani na wewe? Seriously wtf is this?
Unajua ukishindwa kujiamini au hata ku act confidence mbele ya mwanamke huo ni udhaifu mkubwa sana wa kujitakia na umejishushia heshima sana..!

Ijapokuwa wewe unahisi kama umetumia busara kumbe ni vice versa!

Baada ya week moja nilimuuliza "Vp yule jamaa umefanikiwa kumkwepa au bado anakusumbua?" Hapo tushaanza kusahau kisa chote Tena nikiamini kuwa hawana mawasiliano Tena, Mwanamke yule alinijibu "Sijui" Aisee jibu lake liliniumiza na kunifanya nirudi kwenye wasiwasi Tena "Hujui??" "Ndio sijui, kwani we unahisije" Dah! kauli Ile ilinipa hasira
Sasa kukosa kwako confidence kumekufanya umekuwa na insecurities na hzio zinakufanya uonekane needy king'!ang'anizi fulani hivi ...

Hakuna mwanamke anayevutiwa na mwanaume asiyejiamni, muoga na asiye na msimamo..

alinunua smartphone yake, line mpya ambayo hata namba sikuijua Kisha akaweka patten kwenye lock screen, Duh! nikaanza kuwa na wasiwasi Tena, kweli mtu anaetafuta uaminifu kwa mtu aliemkosea kiasi kile kwanini anafanya hivi mbona mwanzo tuliwekana wazi Kila kitu, Nilipomuuliza alikuwa Mkali " Bwana nishabadili namba mpya Hana namba yangu Wala Sina yake Kila mtu kwa Sasa abaki na password za simu yake tuaminiane hivyohivyo tusichunguzane" Basi maneno Yale yalizidi kunipa wasiwasi sana kutaka kujua ni kwanini amefanya vile
Ukishindwa kujiamnini mwanamke ni lazima akudharau, na mwanamke akikudharau hawezi kuvutiwa kinapenzi na wewe wala hawezi kukupenda tena !! Na mara nyingi matokeo ya dharau ni pamoja na kukucheat tu!!!!

Akili iliyonijia nilipamua kwanza kuchukua namba yake mpya aliyosajili bila yeye kujua, Kisha siku iliyofuata nilienda kusajili namba mpya Kisha niliinganisha WhatsApp Kisha nikaisave namba yake mpya kucheki WhatsApp nikaona nikaanza kumchatisha kama vile ni yule jamaa na majibu yalikuwa hivi

Mwanamke alionesha kumlalamikia jamaa kuwa anataka kuishi mbali na mimi kwani nimegundua Kila kitu hivyo namnyima amani.
Huyo mwanamke ana makosa ya kutokuwa mwaminifu kwako ..lakini na wewe pia una makosa au inawezekana kabisa wewe ndio ukawa chanzo cha huyo mwanamke kufika hapo

Ulishindwa kumcontroll ,ukaleta aijendeshe kwa hisia zake mwenyewe ..

Moja ya matatizo yako kupitia maelezo yako yanajionyesha wazi kabisa

Lack of confidence -Kushindwa kuwa mwanaume mwenye misimao.

Insecurities pamoja na kuuliza uliza vijiswali ambavyo inabidi mtoto wa kike ndio aulize kwenye mahusiano...

Show some masculinity Bro... !

Kutokuwa na uzoefu kwenye mahusiano "serious"
 
Mkuu mbona hujaendelea sasa, yaani hata story tu unatubania mzebaba.

Malizia mzee, alijibu vipi??
 
Mbona siku hizi case za kulia na mapenzi zinazidi kila uchao wanaume mnakwama wapi
 
Ukirejea katika Uzi huu > Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

Ambao ni Uzi nilieleza jinsi mke wangu alipoanza kunicheat, Leo ni week ya 4 Sasa, Nimekuja na Muendelezo wa yaliyojiri baada ya Shauri nyingi zilizotoka kwenu wadau, Ushauri niliofanyia kazi ilikuwa wa Ugumu wangu ambae alinishauri nitenge muda wa kukaa na yule mwanamke then nimuulize kama ana malengo gani na Mimi na je, anaweza kuachana na huyo jamaa anaetaka kuanzana nae au lah?, Majibu yake yalionesha kukiri na kuahidi kuachana na jamaa yule Tena akilia sana, Jambo ambalo lilifanya nirudishe moyo wangu nyuma na kumsamehe huku nikizingatia jinsi tulivyotoka mbali pia, Nilimsamehe na Onyo Kali sana kuwa akirudia basi tutaachana.

Baada ya week moja nilimuuliza "Vp yule jamaa umefanikiwa kumkwepa au bado anakusumbua?" Hapo tushaanza kusahau kisa chote Tena nikiamini kuwa hawana mawasiliano Tena, Mwanamke yule alinijibu "Sijui" Aisee jibu lake liliniumiza na kunifanya nirudi kwenye wasiwasi Tena "Hujui??" "Ndio sijui, kwani we unahisije" Dah! kauli Ile ilinipa hasira nikajikuta nimechukua cm yake kuangalia je bado wanawasiliana?

Kurupushani ilianza kwani hakutaka niguse Simu yake ndipo nilitumia mabavu kwa kumpiga kibao Kisha nikaingia kwenye Call log na kukuta ni kweli kuwa bado wanawasiliana Tena wanaongea dk 10-15 japo namba haikuwa kaisave ila namba ya jamaa niliikariri Kutoka siku ya Kwanza Dah Jambo lile lilinipa hasira Hadi nikapasua Simu ya mke wangu, Kisha nikamgeukia kumuuliza kwanini ananifanyia vile, Yeye alijitetea kuwa jamaa ndie anaempigia, "Lakini kwani hukumuambia umeolewa???" "Hata kama ni boss wako je dk 10-15 mnaongea Nini Tena ubaya tarehe inaonesha hata Jana jumapili ni siku ya kazi lakini mmeongea zaidi ya dk 10 je, unaniona Mimi mtoto???"

DAH! Akili yangu ikaanza kunilaumu kwanini sikufuata Ushauri wa kuachana nae Ila Mwanamke yule alinituliza kwa kuniambia jamaa hua anaempigia kwa kuwa bado ana namba yake ila kwa kuwa nimeshapasua Simu yake na laini nimevunja basi atasajili nyingine na kununua Simu nyingine alafu nitathibitisha Hilo kwa kuwa Sasa jamaa hatokuwa na namba yake mpya, basi nilikubali kumsamehe Tena.

Baada ya siku tatu mwanamke akanunua Simu nyingine na kusajili namba mpya, ila Cha kushangaza alinunua smartphone yake, line mpya ambayo hata namba sikuijua Kisha akaweka patten kwenye lock screen,

Duh! nikaanza kuwa na wasiwasi Tena, kweli mtu anaetafuta uaminifu kwa mtu aliemkosea kiasi kile kwanini anafanya hivi mbona mwanzo tuliwekana wazi Kila kitu, Nilipomuuliza alikuwa Mkali " Bwana nishabadili namba mpya Hana namba yangu Wala Sina yake Kila mtu kwa Sasa abaki na password za simu yake tuaminiane hivyohivyo tusichunguzane" Basi maneno Yale yalizidi kunipa wasiwasi sana kutaka kujua ni kwanini amefanya vile? Je kweli ameachana na yule jamaa?

Akili iliyonijia nilipamua kwanza kuchukua namba yake mpya aliyosajili bila yeye kujua, Kisha siku iliyofuata nilienda kusajili namba mpya Kisha niliinganisha WhatsApp Kisha nikaisave namba yake mpya kucheki WhatsApp nikaona nikaanza kumchatisha kama vile ni yule jamaa na majibu yalikuwa hivi

Mwanamke alionesha kumlalamikia jamaa kuwa anataka kuishi mbali na mimi kwani nimegundua Kila kitu hivyo namnyima amani.

itaendelea.....

Ngoja nilie kwanza maana maumivu niliyopo nayo Aisee najuata kuingia mzima
Bado unalia
 
Ukimaliza kulia kunywa kvant kubwa na piriton
 
Kuna jamaa mmoja yalimkuta kama haya. Alichofanya, aliaga anaenda kwenye msiba wa rafiki yake. Hakurudi tena.

Wengine wanasema ameonekana sehemu na mji mpya. Bibie anahaha, hajua la kufanya.

Nachoweza kusema: Angalia thamani ya maisha yako binafsi. Jitafakari, halafu fanya maamuzi ukiangalia kesho yako.
 
Ukiwaa mwanaume kuna wakati unatakiwa uwe katili ile mbaya...we jamaa uko soft sana wanawake hawapendag watu kama wewe badilika na piga chini huyo malaya haraka sana.....
 
Wewe ni fala na mpumbavu kabisa. Unaleta mambo ya kitoto JF na huoni aibu? Unalialia kama mwanamke!

Kwa taarifa yako dunia haihitaji wanaume dhaifu km wewe, there no space for weak men in this world.

WaNawake wamejaa namna hii unashindwa kutongoza unalialia na wanaume wanamkaza na hue da wanakula hadi tigo ya mkeo, wake up and be a man! Leave her and take another woman into your house now.
 
Back
Top Bottom