Siku dawa ya kuchepuka ikipatikana babu naomba unipe taarifa!
tena hasa sisi wapenda hela .. tusamehane.. hata mtoa mada kama vile yeye anachepuka ila anatumia condom mwenzie anakula kavu
Pole sana Luv, but you are now a philosopher....You have been there, wala husimuliwi!
Ila kwa ufupi ni kwamba huyo mwanamume hakuwa riziki. Mume ambaye ni wako hawezi kufanya vitu kama hivyo mbele yako.
Mwenzio na uzee wote mbele ya Bibi nakuwa mdogo kama punje ya ulezi!
ha ha ha sawa mkuuNdiyo maana tunamshauri awe mpole na washauriane jinsi ya kumalizia kazi ili waje kutuuanga mkono kwenye kuguguna pensheni!
Ahsante, nimejifunza mengi.
Shida nyingine wanawake tunapenda sana kupekua ile simu ilikuwa na password ila nilikuwa najitahidi kuangalia bila yeye kujua anavyoitoa sababu aliweka pattern ilikuwa rahisi kukariri
Pole sana mpendwa Tina Buu kwa yaliyokufika. Hakuna kidonda kisichopona ila wakati mwingine kidonda hicho kinaweza kuchukua mda mrefu kupona kutegemea na ukubwa wa kidonda hicho na infections zilizomo kwenye kidonda hicho, hivyo hata wewe hayo maumivu na mawazo yataondoka tu kadiri muda inavyozidi kwenda endapo utajitahidi kusamehe na kusahau.
Pia nakushauri uende ukapime magonjwa ya zinaa hasa UKIMWI ili ujue kama umeathirika au la. Na kama hujaathirika basi ni vyema umshukuru Mungu na uchukue tahadhari ili usipate maambukizi. Na kama itatokea majibu yakasema kuwa umeathirika basi usikate tamaa kwani kuathirika sio mwisho wa maisha. Endelea kuishi maisha yako kama ulivyozoea huku ukiomba msaada wa Mungu ili kwa upendo na huruma yake kwako akuponye huo ugonjwa ambao umeupata pasipo kutarajia maana yeye ni muweza wa yote na hakuna kinachoshindikana kwake.
Umekuwa huru kwa sababu ulistuka na kuwa mbayu wayu mapema. Halafu kwa jinsi hawa wajukuu zangu walivyo wajinga, unaweza kukuta anahangaika kurudisha majeshi!
Ahsante, nimejifunza mengi.
Shida nyingine wanawake tunapenda sana kupekua ile simu ilikuwa na password ila nilikuwa najitahidi kuangalia bila yeye kujua anavyoitoa sababu aliweka pattern ilikuwa rahisi kukariri
Koh koh unanikumbusha juzi juzi hapa mamsapu akaniambia wewe umebadlisha password eeh.kumbe aliwahi kunisoma kimya kimya kwenye simu.wanawake mna mambo sanaaa
Hahahahahahahahah hadi nimecheka kwa sauti kweli unawajua vzuri. Hadi mama yake mzazi anapiga simu mara kwa mara namuheshimu sana yule mama alinipenda na ananipenda kama mtoto wake wa kumzaa hivyo mwanaume anamtumia sana mama yake kunishawishi.
ndo hapo sasa.....mdada wa watu sijui kimemsibu nini kuyachokonoa asiyoweza kuhimili?