Maumivu makali ya kimapenzi

Maumivu makali ya kimapenzi

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,285
Hivi Umewahi kuumizwa na mtu ambaye ulimuamini sana? How did u handle it guys? [emoji50][emoji50][emoji50]

Zamani sana Ilikuwa Darasa La 7 B Bunge Primary, kuna msichana niliwahi kumuamini hadi akawa anaenda na begi langu la madaftari nyumbani kwao.

Lakini bado akanisaliti na jamaa ambaye amenunua uniform mpya [emoji17][emoji17][emoji17]
 
🤣🤣🤣
 
Mara nyingine hutakiwi kusimama mguu sawa hivyo simama mguu pande
Maana binadamu tunabadilika kila iitwapo leo
 
Hivi Umewahi kuumizwa na mtu ambaye ulimuamini sana? How did u handle it guys? [emoji50][emoji50][emoji50]

Zamani sana Ilikuwa Darasa La 7 B Bunge Primary, kuna msichana niliwahi kumuamini hadi akawa anaenda na begi langu la madaftari nyumbani kwao.

Lakini bado akanisaliti na jamaa ambaye amenunua uniform mpya [emoji17][emoji17][emoji17]
Sisi ndo wanawake bhana.
Huwa hatutabirikagi tunatakaga nini toka kwa mwanaume.
Cha muhimu we mpekekee moto tu....akuheshimu utakapokuwa ex wake
 
Back
Top Bottom