Maumivu makali siku za hedhi

mtoto wa maskini

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
1,152
637
Wana jamii heri ya mwaka mpya, inakuaje mtu anapata maumivu makali sana siku za hedhi hata baada ya kumaliza siku zake?
 
Kama hajawahi pata mtoto ni kawaida kwa baadhi ya wasichana/wanawake, au kapata mtoto na amekaa muda mrefu pasipo kuconceive tena
 
Ni kawaida hiyo unaweza kupunguza maumivu kwa kuweka maji ya moto moto kwenye chupa ya plastic (au ile mipira ya kukandia) unakanda kanda tumbo, au massage ya tumbo pia.....inasaidia kupunguza maumivu
 
Last edited:
Back
Top Bottom