Maumivu makali dunia hii

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
1/Kuchapiwa mke wako!

Hii kitu haina mjanja nawaambieni! Pale mkeo anapokusaliti hukuacha na maumivu makali sana pengine hutayasahau maisha yako hata mkiachana. Hii ni kutokana na jinsi mioyo yetu ilivyoumbwa migumu. Soma Mathayo 10:7-9

2/Kuminywa korodani.

Hapa unaambiwa kama unamminya mtu korodani halafu asiseme ukweli au kukupa unachokitafuta. MUNGU anasema umuache huyo mtu au umuue tu.



 
Mmmmmhh

Hili la pili,sijalielewa Chief
 
Namba moja inakupa maumivu ya kihisia (psychological trauma) na namba mbili inakupa maumivu ya kimwili (physical trauma)...
 
Reactions: y-n
1/Kuchapiwa mke wako!

Hii kitu haina mjanja nawaambieni! Pale mkeo anapokusaliti hukuacha na maumivu makali sana pengine hutayasahau maisha yako hata mkiachana. Hii ni kutokana na jinsi mioyo yetu ilivyoumbwa migumu. Soma Mathayo 10:7-9

2/Kuminywa korodani.

Hapa unaambiwa kama unamminya mtu korodani halafu asiseme ukweli au kukupa unachokitafuta. MUNGU anasema umuache huyo mtu au umuue tu.



 
Ushawahi angukiwa na nyundo katika kidole au ubao???

Inategemea mazingira mkuu.
 
Kuna ukakasi kidogo
Ukimminya Korodani,ikiwa hatosema kitu

Mungu anasema
a)Umuache
2)Umuue

Mmmmhhh
Hapa nadhani unatania Mkuu
 
Unajua kuna maumivu, maumivu makali, na maumivu makali ya KIPEKEE.

Sasa maumivu ya kupigwa kwenye korodani, ni maumivu ya kipekee.
 
Kujikwaa kidole kidogo cha mwisho ni noma navyokwambia
hahaha afu unamaliza kujikwaa pembeni yako jamaa anakuuliza ...bwashee ile game ya jana arsenal kapigwa ngapi" ?????
 
Hiyo Mathayo 10:7-9 mbona haihusiani na mambo yako unayoyasema
 
Hiyo namba 1.
Maumivu yake naamini ni makali mno.
Ndiyo maana huwa nashauri; kama huwezi uvumilivu basi ukimfumania mkeo muachane kabisa.

Maumivu haya huwa hayaponi kamwe. Mwisho wake huwa kujiua au kumuua mke tena kikatili.

Hiyo mbili ni upande wa maumivu ya mwili. Siwezi kuyaongelea sana, maana kila sehemu ya mwili ina maumivu yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…