Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
SEMA KWA HUYU MKUU na wasi wasi huyo shemeji atakua alishawahi ingia Uwanja wa Vita (LEBA) na katika kujifungua akawa ameongezwa Njia na makosa ya madaktari wetu wa Bongo ndio madhara yake kama haya.
Sawa...hakuna kitu kama hicho mkuu, hata uongezwe njia baada ya siku 40 kitu kinarudi kama mtoto, usifanye mchezo na uumbaji wa Mungu
SEMA KWA HUYU MKUU na wasi wasi huyo shemeji atakua alishawahi ingia Uwanja wa Vita (LEBA) na katika kujifungua akawa ameongezwa Njia na makosa ya madaktari wetu wa Bongo ndio madhara yake kama haya.
Ni kweli ako na mtoto tayari..... Nita jitaidi, kuyajua hyo mengine kwa busara then kama ndivyo usemavyo tukaangalie matibabuSEMA KWA HUYU MKUU na wasi wasi huyo shemeji atakua alishawahi ingia Uwanja wa Vita (LEBA) na katika kujifungua akawa ameongezwa Njia na makosa ya madaktari wetu wa Bongo ndio madhara yake kama haya.
Haaahaaa serekali sikivu ya cccm sio?Suala lako serikali inalifanyia kazi
@edelyn kwani wewe umekulwa na mmoja tu?Tatizo ndo hilo la kuwa kwenye mahusiano na watu wengi kabla ya ndoa ungekuwa na huyo huyo mmoja usingeweza kujua kwamba yake ni kubwa au ndogo maana unakuwa hauzijui za wengine zikoje
Shida inakuja ukishaanza kuonja na za wengine lazima utajua tu kuzitofautisha na utakuwa umeshajua za aina ipi unazitaka na za aina ipi hauzitaki mkiambiwa muache umalaya hamtaki basi endeleeni kushindana kujua vibamia na mikuyenge sijui mibwawa na vimnato mnajua wenyewe
Issue sio kufa kuoza Chief wangu... Kama kile nachoona kwangu ni kikwazo, na nikagundua kina namna ya kukitafutia utatuzi Basi nitashughulikia kwa uwezo wangu...Duh kumbe kujifungua kunaweza kusababisha madhara kama ya uke mkubwa mbona ni hatari kama ndio ivyo,, na je vp matibabu yake mana jamaa kafa kaoza yupo tayali kumpeleka hata nnje ya nchi
Sure. ThanksNadhani usifanye hasty judgement, tafuta muda mkutane tena ili uone kweli kwamba maumbile yake ni makubwa. Ni kweli kwamba unaweza kukutana na mtu ambaye mpo incompatible coz binadamu tupo tofauti katika mengi. Ila mnaweza kukaa na kuyajenga, au ukaamua kupiga kimya ukafanya maamuzi ya kimya kimya...
Issue sio kufa kuoza Chief wangu... Kama kile nachoona kwangu ni kikwazo, na nikagundua kina namna ya kukitafutia utatuzi Basi nitashughulikia kwa uwezo wangu...
Na pia pale napoona ni jambo lisilo wezekana, na changanya na zangu nafanya maamuzi....
Nasi kupenda kiviile, huu muda wa kupenda kufa sina tena, ninatizama future zaidi, na zaidi nimlinde mtoto wa watu, na kulinda moyo wake usiumie, nishaumiza, na kuumiza... Yatosha sana.
Ana mtoto Nina watoto, we need life now... So lazima kuwa Makini kidogo.
Wakuu,mbona mi sjawai kutana na dem mwenye ishu kubwa,mi nawaona kawaida tuu,..yan kusema et ni bwawa sjui nin,..au labda mi seilew kwamba inakuaje
Mkuu ipi tamuuuu...Tatizo ndo hilo la kuwa kwenye mahusiano na watu wengi kabla ya ndoa ungekuwa na huyo huyo mmoja usingeweza kujua kwamba yake ni kubwa au ndogo maana unakuwa hauzijui za wengine zikoje
Shida inakuja ukishaanza kuonja na za wengine lazima utajua tu kuzitofautisha na utakuwa umeshajua za aina ipi unazitaka na za aina ipi hauzitaki mkiambiwa muache umalaya hamtaki basi endeleeni kushindana kujua vibamia na mikuyenge sijui mibwawa na vimnato mnajua wenyewe
Comments zangu ndio matangazo yangu naingiza elf 5 naanzaje kulala
Acha uongo hakuna mwanaume anayekubali hadharani kuwa ana kibamia na vile vile hakuna mwanamke anayekubali hadharani kuwa ana bwawa wote wanakataa hadharani lakini moyoni wanakubali na wengi wao wanaumiaHuo ukweli tunaukubali Sisi wanaume tu lkn wanawake hapana, ni rahisi kumsikia mwanaume anasema ana kibamia lkn huwezi kumsikia mwanamke anasema ana bwawa
sibishani ila nakuelewesha mkuu, ingekuwa hicho ulichoongea kipo au ni cha kweli basi mwanawake wangekuwa wanaachwa mara tu wanapotoka kuzaaSawa...
somo la ubishani ndo nilipataga F
sijasema hilo nililosema ni kwa wanawake wote Mkuu.sibishani ila nakuelewesha mkuu, ingekuwa hicho ulichoongea kipo au ni cha kweli basi mwanawake wangekuwa wanaachwa mara tu wanapotoka kuzaa
Tunatandika masingo maza deileSEMA KWA HUYU MKUU na wasi wasi huyo shemeji atakua alishawahi ingia Uwanja wa Vita (LEBA) na katika kujifungua akawa ameongezwa Njia na makosa ya madaktari wetu wa Bongo ndio madhara yake kama haya.
Tumia style nyingine man
Kama hutaki basi lkn huo ndo ukweli, wanawake mnajiona mpo perfect sanaAcha uongo hakuna mwanaume anayekubali hadharani kuwa ana kibamia na vile vile hakuna mwanamke anayekubali hadharani kuwa ana bwawa wote wanakataa hadharani lakini moyoni wanakubali na wengi wao wanaumia