Maumbile yake ni makubwa

Nimekuelewaa hapa mkuu
 
Sawa Sawa...
 
Duh!!!, Unapenda miteremko Kweli wewe, Yaani Unataka kujipatia kisusio kiulaini hivyo?!!!.
 
Kama umesoma novel ya Godfather ya Mario Puzo. Kuna ishu kama hiyo. Hiyo ni medical ishu kuna wanawake Wengi wanapata shida hiyo wanakaa kimya na kuvumilia Laiti wangejua kwani inahitaji simple surgery tu. Mpeleke kwa Doctor specialist wa kina mama. Mungu alivyowaumba ile mashine hakulipua ina elasticity ya ajabu kwa kila size
 
Nimekupata mkuu... Nitakwenda CCBRT
 
Huo ukweli tunaukubali Sisi wanaume tu lkn wanawake hapana, ni rahisi kumsikia mwanaume anasema ana kibamia lkn huwezi kumsikia mwanamke anasema ana bwawa
Na ukweli ungine ni kuwa"mwanamke nae ananung'unika na uume ambao haumtaiti kama anavyo taka lakini huwa anavumlia tu"

Lakini kwa kweli na wao wanakosa raha sanaaa, ila wanawake wana kitu ile potelea potee, mwanamke yuko tayari akae na mtu ambae hamridhisi kimoyo na kihisia kwa sababu tu mwanaume huyo ameamua kumvumilia kasoro yake ya uke mkubwaa.

Mwanamke anaweza kukaa na wewe sio kwa sababu anakupenda sana, ila hiwenda tu kuna kasoro fulani anayo ambayo inamkatisha matumaini kwamba akikukimbia wewe hatopata mwingine wa kumvumilia..
 
Wakuu,mbona mi sjawai kutana na dem mwenye ishu kubwa,mi nawaona kawaida tuu,..yan kusema et ni bwawa sjui nin,..au labda mi seilew kwamba inakuaje
Unaelewa ila hakuna... Mtoa mada ana gubu tu
 
aseee Bablai kuna shimo na SHIMO nmeandika maneno mawili hapo unaweza ukaona yanafanana ila usiombe ukutane na "SHIMO"

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kama sifa nyingi anazo unazingatia vipi hiyo moja aliyekosa mkuu? Ngumu sana kuja kumpata aliye na sifa zote uzitakazo wewe, ukija kumpata mwenye maumbile uyatakayo huwenda akapungukiwa maadili hivyo labda ufikiri ikiwa upo tayari kuoana nae tafta namna ya kujirizisha wewe kisha naye arizike kupitia kurizika kwako.
 
POINT
 
Wana staili zao hao utaisikia miguno tu kama benzi lipo kwenye kigongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…