Kama kuna dhambi, wapenzi wanabebeshana basi ni ya ukubwa wa maumbile nowdays. Utakuta mwanaume mathalani, akipiga kimoja na hajamfikisha basi, mwanamke anapanda hasira na kufanya personal attack. Anamchukia mumewe utafikiri yeye ana miujiza ya kujicreate na kuwa bora kila idara. Jamani msiwachukie na kuwadharau wenye maumbile hayo. Kama ulitest na kujiona unfit,ni afadhali kumchagua wa size yako. Mchango huu ukate jinsia zote.