Maumbile yake ni makubwa

Hata neno kuchepuka linachukuliwa kama neno la kawaida sana wakati kuchepuka = umalaya
Kuchepuka ni kazi ngumu sana lakini watu hawalijui hilo. Kuchepuka ni sawa na Polisi (Asiyechepuka) na jambazi (anayechepuka). Nilishawahi kuchepuka lakini kulinishinda kwasabb;
1. Unakuwa mtu wa wasi wasi na hofu muda wote
2. Haujiamini kuanzia kuvaa mpaka kuongea
3. Unakuwa na simu muda wote. Uwe chooni simu, umeenda kuoga umebeba simu, mpenzi wako akishika simu unakosa raha, yaani muda wote unawaza ikitumwa meseji au ikipigwa simu
4. Ugomvi hauishi na hapa ndipo unapotengeneza kitu kingine kuachwa au na yeye kuchepuka
5. Muda wowote unaweza kupata magonjwa ya ngono sababu umekuwa umetengeneza mtandao mkubwa wa ngono
HIZI NDIZO SABABU ZILINIFANYA NISICHEPUKE
 
Mkuu hayo semea nafsi yako kuna wanaume ni wababe yaani yeye haijalishi mke atajua au hatajua yeye kuchepuka ni lazima tena hata ikitokea mke akamfumania mume na akamuuliza kwanini anachepuka huyo mke ndo kwanza ataambulia vipigo na vitisho hadi ajishushe aombe msamaha tena kwa magoti
 
Wanaume tunapishana sana. Ila mimi siwezi aise maana huwa napenda sana niishi maisha ya amani na upendo. Hii mikiki ya kuchepuka na kutukanana siwezi kuimudu sababu huwa naamini mke na watoto ni kama wazazi wa pili hapa dunia. Ukikosa hela au ukiugua ni rahisi sana mke kuwa na wewe kuliko mchepuko. Kwanini nitumie pesa na nguvu nyingi kwa mchepuko ambaye najua hatanisaidia hata nikiugua? Hata tukiachana na mke wangu nina wa3 siwezi oa. Naogopa sana watoto wangu kulelewa na mama wa kambo
 
Nimekuja kiongozi
 
Hongera kama wewe upo hivyo.
 
Kijana unaoa kwa maumbo ya uke au unataka mke bora. Kwanza ukienda mda mrefu ndo unamridhisha (kwa stori za mitaani nk). so nahisi badala ya kutumia dakika 3 kule kwenye maumbile madogo basi tumia hilo lisaa hapo ulipo umridhishe huyo mtu wako. Pili, maumbile huwa yanabadilika, hata akiwa na maumbile madogo sahizi akizaa yatabadilika so ni mambo ya kawaida anza kuzoea mapema.

Kama unampenda huyo ndo mwenyewe ili mradi ana tabia njema na unahisia za kumpenda. Na hili ndio tatizo la kuwa na mpenzi huyu leo kesho umebadili, vuna ulichopanda sasa!
 






Usikilize moyo wako mkuu ,pia nadhani unahitaji shule maana kila mwanamke anaridhika ktk tendo landoa hata kama ana maumbile makubwa na ww ukawa nayo madogo ishu ni ujuuzi na utaalamu maana mwanamke kumridhisha mwanaume hua ni kitu kidogo sana ila shida ni sisi kuwaridhuisha wao

Ushauri wangu:
Muulize kama ulimfikisha kileleni na alifurahia vip lile tendo
je na ww ulifika kileleni?
kama alifurahia na ww ukafika kunaostahili ni dhahiri kuwa mnapendana

Kikubwa ni hiki mkiwa faragha mwambie unataka akufanyie nini ili uweze vuka pale uliwaza maana wao wanaweza fanya maarifa makubwa tu na usiyaone hayo maumbile yake kama ni makubwa na ukazid kufurahia

KAZI KWAKO MZEE BABA🤣
 
Thankx bro
 
Reactions: moz
Kiruuuu acheni kuweka vitu uchini jmn mtaumwaa magonjwa vibayaa nyieee

Nashauri afanye kegel exercises
Km anampenda kweli
Ampeleke kwa Gynaecologist amfundishe
Ama ajisomee online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…