Maxmax72
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 578
- 1,054
Wakuu kwema?
Mimi ni kijana wa kiume muhitimu wa shahada ya elimu tangu 2017, kiukweli nimesota sana mtaani tangu kumaliza kwangu chuo nimefanya kazi za kila aina ili kujikimu lakini kiukweli sioni mwanga wa kubadilisha mfumo wangu wa maisha kwa hizi kazi nizifanyazo kwa sasa. Kwa jinsi hiyo, inabidi nipate kwanza ajira ili kuongeza mtaji.
Mhe Rais Magufuli siku za hivi karibuni akihutubia kwenye sherehe za chama cha walimu alihaidi hivi karibuni atatoa ajira za walimu, ajira hizi najua zitakuwa chache akilinganisha na sisi wahitimu na ndo maana siyo kila mtu atapata kwani hata mimi nimekuwa mhanga wa kutopata ajira hizi takiribani miaka mitatu, hivo kwa kulitambua hilo naomba kupitia kwenu wana JF nipate mtu atayenifanyia connection hasa kwa watu wa Tamisemi ili nami ajira zijazo nipate post sehemu yoyote nitakayo pangiwa nitaenda kufanya kazi.
Mimi ni mwalimu wa Biologia na Geographia. Kwa Ndugu yeyote atakaye wezesha mchakato huu ataombewa kwa sala na dua ili Mungu ampe maisha yenye heri duniani.
Asanteni sana.