Ila nakutaazalisha huyo jamaa ni Mke wa mtuAkitokea radio gani ?
Ila nakutaazalisha huyo jamaa ni Mke wa mtuAkitokea radio gani ?
KivipIla nakutaazalisha huyo jamaa ni Mke wa mtu
Kweli ...Unaweza ukawa profesa/Dokta na ukaishia kuajiriwa na wa darasa la 7 au form 4. Mungu ni mwema wakati wote, na wala habagui.
Kitenge ni mzuri kwa ligi ya ndani tu labda huyo kumwembe.....Kama ni kweli naona wasafi fm wakipindua meza kibabe.Kiukweli sports HQ ni kipindi bora kabisa.Hivyo maulid na timu yake wataongeza kitu wasafi
Kuna Osca oscar piapale akitoka maestro sports hq bai bai
Mama mwenye nyumbaDuuh! lulu ndo mziba nafasi ya kitenge!!!!
Oscar Oscar nae yupo vizuri ila uwepo wa Maestro unamfanya awe bora zaidiKuna Osca oscar pia
Kwani Wasafi ni yake au brand yake inatumika tu na yeye ni mbiaMondi anawaajiri akina Kitenhe na Edo? Kweli dunia duara.
Kitenge ni mzuri kwa ligi ya ndani tu labda huyo kumwembe.....
Kweli kabisa, mzuri kwa uchambuzi ni mdogo wangu toka Kaliua Oscar Oscar.Kitenge kwenye soka hayupo deep kabisa sema ana ubwinga flani hv. So mchambuzi mzuri vile hayupo well informed
Yethuuuuu.....my husband wake nani?Ila nakutaazalisha huyo jamaa ni Mke wa mtu
M bia ndo mmilikiKwani Wasafi ni yake au brand yake inatumika tu na yeye ni mbia