Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,810
Masai watoke ngorongoro..kwanza mmekuwa kero tu, watoto wenu wanashinda kwenye camps wakiomba chakula, hawaendi shule, wanajifanya wanachunga ng'ombe pembeni mwa camps, na wake zenu wakiomba viporo vya chakula wawapelekee waume zao nyumbani. Wanaume wamebaki kunywa gongo wakisubiri wanawake warudi na viporo vya ugali vya jana, such a lazy tribe. Kuishi kwa kutegemea mwanamke akutafutie!! Wake zenu wameishia kufanya kazi za kufua kwenye camps na kupigwa miti. Wengi wameambukizwa ukimwi na magonjwa ya zinaa. Tunajua maisha yenu ya aibu. Ni muda sasa muondoke mkajitegemee huko duniani kuliko kuishi maisha ya aibu kiasi kileNgorongoro.Mmaasai anajenga nyumba za kisasa hadi maghorofa yamejengwa ndani ya hifadhi
Hebu tuwekee picha hayo magorofa na nyumba za bati la misauzi zilizojengwa hifadhini!? Na kama zipo unataka kuaninisha kwamba mfugaji wa kimaasai anajenga hayo magorofa na kuishi humo?
Narudia kusema watz tupo manipulated na siasa za kijinga na kipumbavu zisizojali utu wa mwanadamu.!
Sent using Jamii Forums mobile app