Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Kwa hiyo hautaki mwanadamu aendelee bali mnyama ndio aendelee....mental retarded kabisa ww
Binadamu wangapi wanafukuzwa kwenye mapori ya wanyama baada ya kuvamia na kuanzisha makazi???? Au hao wamasai ndo watakua wakwanza..
 
Kitenge na mwenzake Oscar hivi karibuni wameibua mjadala mkubwa ndani na nje ya mitandao wakijaribu kuionyesha nchi Hifadhi ya Ngorongoro inaangamia kwa sababu ya kuongezeka idadi ya wamasai na shughuli zao katika hifadhi hiyo.

Pia kwa ushabiki mkubwa wameelezea jinsi gani Wamasai hasa watoto wanaoishi katika hifadhi wako katika umaskini mkubwa na hali duni ya maisha.

Jambo la kwanza walilokosea sana watangazaji hawa wawili ni kuzungumzia mgogoro ulio katika hifadhi ya Ngorongoro kama ushabiki wa Simba na Yanga tu.

Sina uhakika kama wameanza kuzungumzia Hifadhi ya Ngorongoro kwa kulipwa na wenye maslahi nayo au kwa uzalendo mkubwa tu wa kuipenda nchi.Vyovyote vile jambo moja kubwa wamejidhihirisha nalo katika hili jambo ni jinsi walivyo watupu kichwani kwa mambo mengine mazito ya nchi tofauti na mpira.

Watu wenye busara walio karibu nao wangewashauri kukaa kimya na mbali katika hili suala na kuwasikiliza zaidi Wamasai wa Ngorongoro na watu wanaoijua vizuri Historia ya Hifadhi ya Ngorongoro.

Wasichojua watu hawa wawili ni kwamba madhila yatakayowapata Wamasai wa Ngorongoro kutokana na ukandamizaji wa dola wao wanaweza kuhesabiwa kama sehemu ya ufanikishaji wa madhila hayo, historia haitawasamehe wala haitakuwa nzuri kwao. Ngorongoro ina jicho la dunia.
 
Hivi kuna ubaya kuzungumzia watu wanaishi katika umaskini mkubwa? Je ni nani azungumzie huo umaskini? Tupnde wenzetu nao wavae sarawili kama tunavyovaa wamang'ati
 
Kwani ni Wamasai tu wanaishi katika umaskini mkubwa nchi hii?
Hivi kuna ubaya kuzungumzia watu wanaishi katika umaskini mkubwa? Je ni nani azungumzie huo umaskini? Tupnde wenzetu nao wavae sarawili kama tunavyovaa wamang'ati
 
Kwani ni Wamasai tu wanaishi katika umaskini mkubwa nchi hii?
Wengi tunaishi kwenye umaskini. Lakini wenzetu wale wapo kwenye maeneo tngefu amabayo hayaruhusiwi kujengwa shule, kusambaza mabomba ya maji, kujengewa hospitali na kuwekewa miundombinu ya umeme au simu. Halafu tuendelee kuwafanya kama kivutio au kiburudisho, hivi hii ni sahihi au tunawafanya wenzetu mazuzu?
 
Niko UNESCO jikoni shughuli za binadamu kuzidi uwiano kati ya binadamu na wanyama zimesababisha mchakato wa UNESCO kuondoa hadhi ya Ngorongoro kwenye list yao....
Unafanya UNESCO ya Mbagara mkuu...ungekua humu kama mimi UNESCO usingeweza kuandika hovyo
 
Kitenge na mwenzake Oscar hivi karibuni wameibua mjadala mkubwa ndani na nje ya mitandao wakijaribu kuionyesha nchi Hifadhi ya Ngorongoro inaangamia kwa sababu ya kuongezeka idadi ya wamasai na shughuli zao katika hifadhi hiyo.

Pia kwa ushabiki mkubwa wameelezea jinsi gani Wamasai hasa watoto wanaoishi katika hifadhi wako katika umaskini mkubwa na hali duni ya maisha.

Jambo la kwanza walilokosea sana watangazaji hawa wawili ni kuzungumzia mgogoro ulio katika hifadhi ya Ngorongoro kama ushabiki wa Simba na Yanga tu.

Sina uhakika kama wameanza kuzungumzia Hifadhi ya Ngorongoro kwa kulipwa na wenye maslahi nayo au kwa uzalendo mkubwa tu wa kuipenda nchi.Vyovyote vile jambo moja kubwa wamejidhihirisha nalo katika hili jambo ni jinsi walivyo watupu kichwani kwa mambo mengine mazito ya nchi tofauti na mpira.

Watu wenye busara walio karibu nao wangewashauri kukaa kimya na mbali katika hili suala na kuwasikiliza zaidi Wamasai wa Ngorongoro na watu wanaoijua vizuri Historia ya Hifadhi ya Ngorongoro.

Wasichojua watu hawa wawili ni kwamba madhila yatakayowapata Wamasai wa Ngorongoro kutokana na ukandamizaji wa dola wao wanaweza kuhesabiwa kama sehemu ya ufanikishaji wa madhila hayo, historia haitawasamehe wala haitakuwa nzuri kwao. Ngorongoro ina jicho la dunia.

Kuhusu ishu ya Ngorongoro kila MTU na atoe maoni yake bila kumvunja sheria za nchi....

Wewe umetoa maoni yako hujavunja sheria yoyote. Mbona maoni ya Kitenge yanaonekana kuwakera sana? Kwani katukana mtu?

Watu wanadai maslahi ya taifa ni bora kuliko wakazi was asili wa eneo hilo kwa maana ya wamasai wa Ngorongoro...

Maslahi ya taifa yasiyozingatia maslahi ya watu ni upuuzi na hayafai....

Aidha kuna watu wanalinganisha serikali kutwaa na maeneo kwa ajili ya ujenzi wa barabara au reli au bwawa la umeme na kuhamisha watu walio kwenye eneo kubwa la wilaya mbili...

This is impossible! Hatuwezi kuhamisha watu wa Ngorongoro na Loliondo eti kupisha wanyama waishi kwa amani ili binadamu wahangaike. Huu utakuwa ni ujinga na hata Mungu aliyetupa ardhi hiyo, atatushangaa kuwapa kipaumbele wanyama na sisi kujikana wenyewe....

Kama tunaona tabu sana na kuwapa wanyama thamani kuliko wanadamu, basi serikali itafute eneo la kuwahamishia wanyama wake na siyo kuhamisha watu kupisha wanyama!!
 
Somebody said, AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.

FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).

Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana?

Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..

Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)

Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.

Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda,

Zitakuaharibia.

Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua

*************
*************
Wale wasiojua nyuma ya Pazia na kuingizwa mkenge na wanahabari wachumia tumbo Juu ya Sakata hili Pitieni hapa chini👇👇👇👇👇

**************
By Laurel Sutherland on 18 February 2022

- In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite tourism.

- Maasai leaders have filed an appeal at a regional court, seeking a halt to all plans for the area and calling the renewed attempt to seize the land a blatant violation of an injunction that barred the government from evicting Maasai communities in a case that involved violent evictions.

- According to sources, the regional commissioner of the region told Maasai leaders that the leasing of the land is in the national interest to increase the country’s tourism revenue and was a tough decision for the government to make.

- Evicted residents from Loliondo will be relocated to the neighboring Ngorongoro Conservation Area (NCA), where they will join another 80,000 evicted Maasai to share a strip of land designated for humans and wildlife.


In 2018, the East African Court of Justice (EACJ) granted an injunction prohibiting the Tanzanian government from evicting Maasai communities from 1,500 square kilometers (580 square miles) of ancestral, legally registered land in the Loliondo division of Ngorongoro, northern Tanzania.

Today, 70,000 Maasai pastoralists are once again at risk of eviction after the government disclosed a plan to lease the same parcel of land to the Otterlo (sometimes spelled Ortello) Business Corporation (OBC), a company based in the United Arab Emirates, to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite tourism.

OBC is a hunting firm said to be owned by the UAE royal family. According to the Oakland Institute, a policy think tank based in the U.S., OBC will control commercial hunting in the area. This is despite the company’s past involvement in several evictions of the Maasai people in the region and the killing of thousands of rare animals in the area, including lions and leopards.

Tanzania protest Ngorongoro

Maasai residents protesting after Arusha’s Regional Commissioner John Mongella revealed plans to lease 1,500 square kilometers of ancestral land to United Arab Emirate (UAE) based Ortello Business Company. Image courtesy of Oakland Institute.
The decision to lease the land to OBC was made known to Maasai leaders on Jan. 11, 2022, by John Mongella, the regional commissioner for the Arusha region, according to a statement by the Oakland Institute.

Anuradha Mittal, executive director of the Oakland Institute, quoted Mongella as telling Maasai leaders that the government planned to remove them from their land at some point this year, even if this decision will be painful to many.

A Maasai leader who spoke to Mongabay on the condition of anonymity said that Mongella continuously stressed that leasing the land is in the “national interest” and should therefore also be of priority to the Maasai people.

Renewed attempts to seize land

Approximately 15 villages within the proposed area would be impacted by the decision. The strip of land that is legally registered in the Loliondo division of Ngorongoro district is vital for Maasai pastoralists, who have sustainably stewarded the area for generations, according to the Oakland Institute.

Mittal said the creation of the wildlife corridor and the displacement of the communities would exacerbate hunger and poverty, given that pastoral livelihoods depend on the region’s grazing areas and water sources. The strip of land is part of the 4,000-km2 (1,544-mi2) Loliondo Game Controlled Area that became a multipurpose area for hunting, conservation and pastoralism.

Mittal said the Maasai have developed a symbiotic relationship that has allowed local ecology, domesticated livestock, and people to coexist in a resource-scarce environment.

A Maasai herder moves cattle across rangeland shared with zebras. Image by Guy Western.


A Maasai herder moves cattle across rangeland shared with zebras. Image by Guy Western.


“This local knowledge has been largely credited as allowing the large mammal population and ecological diversity to grow under the stewardship of the Maasai,” Mittal told Mongabay. “Replacing them with tourists and hunters will likely negatively impact the environment and health of wildlife populations.”

When informed of the decision, the Maasai leaders indicated they would not leave the area and have signed a statement opposing the plan.

On Jan. 13, thousands of Maasai gathered in Oloirien village, one of the communities in the area, where they staged a protest and promised to not leave the area until the government reverses the decision. Tanzania Wildlife Authority rangers, who were erecting border beacons for the wildlife corridor, were forced to leave the area after confrontations with the people of neighboring Malambo village, which brought the protests to an end. Leaders say protests will resume if the rangers return.

In addition, leaders of Oloirien, Ololosokwan, Kirtalo and Arash villages have filed an appeal at the East African Court of Justice, asking for a halt to all plans.

The leaders say the renewed attempts to seize the same land is a blatant violation of an injunction that barred the Tanzanian government from evicting Maasai communities from the area. This case involved violent government-led evictions of Maasai villages in August 2017.

Tanzania protest Ngorongoro

Maasai gathering at Oloirien village in protest against the Tanzanian government decision last Sunday. Image courtesy of Oakland Institute.
At the time, under the instructions of the government, homes of Maasai families were burned to the ground leaving thousands homeless while several residents were arrested.

The injunction also prohibits the destruction of Maasai homesteads, the confiscation of livestock, and the office of the Inspector General of Police from harassing and intimidating the plaintiffs. The injunction remains in effect until a ruling on the full case can be heard. A hearing date has not yet been set.

“That the Maasai are once again facing eviction to please the UAE royal family shows the Tanzanian government continues to prioritize tourism revenues at the expense of the Indigenous pastoralists who have sustainable stewarded the area for generations,” Mittal said.

Tanzania’s economic development depends heavily on the private sector. Tourism contributes 17.2% to the country’s gross domestic product, and 25% of all foreign exchange revenues. In 2020, then-President John Magufuli announced that the government would put great emphasis on several economic sectors, including tourism.

Otterlo did not respond to several requests for comment through social media, and the telephone number listed for its office in Tanzania is no longer in service. The Oakland Institute’s attempts to reach out to Otterlo went unanswered.

A relocation plan in motion

The Tanzanian government’s plan to evict the Maasai from Loliondo is not the only one in motion, but is rather part of a larger plan to resettle communities in the region to make space for a conservation area, tourism and hunting. There are preparations to implement a multiple land use and resettlement plan in the neighboring Ngorongoro Conservation Area (NCA) that will relocate another 80,000-plus Maasai within the UNESCO World Heritage Site. The NCA is considered one of the most cinematic landscapes on the planet, seeing over 1 million wildebeest migrate through the area, and is home to the critically endangered black rhino (Diceros bicornis).

According to Mittal, the first group of Maasai are expected to be relocated at the end of February. The NCA plan proposes to divide the conservation area into four zones. At least 82% of the area currently accessible for pastoralism will be designated as a conservation area, and the remaining 18% will be classified as multiple land use for human and wildlife.

The more than 150,000 evicted pastoralists in Ngorongoro district, including those from Loliondo, will be resettled to this 18% of land.

Ngorongoro District

A map showing the location of Loliondo Game Controlled Area and Ngorongoro Conservation Area in northern Tanzania. Image courtesy of the Oakland Institute.
A Maasai activist and community representative, who requested anonymity, has appealed to the Tanzanian government to put a stop to its plans to evict communities and wait until the court case is concluded.

“The myth of protected areas takes away not only our rights as people but our ability to exercise our responsibilities related to land,” the leader said as he appealed for international support on behalf of his community, noting that Tanzania is a signatory to the U.N.’s Universal Declaration of Human Rights.

View attachment 2128348

View attachment 2128349
Sababu zilezile ziliwafanya wakoloni wawahamishe wamasai Serengeti ndo hizohizo baada ya miaka takribani 70 zinawafanya wamasai wahamishwe Loliondo sasaiv.
1) Jiulize watu zaidi ya 120,000 wanaishije ndani ya hifadhi na hawaruhusiwi kulima? Chakula wanatoa wapi? Jibu wanategemea chakula cha msaada kinachotolewa na hifadhi. Sasa kwanini wasiende kujitegemea huko kama raia wengine? Na hapa ndo kuna ugomvi, Masai ni kabila la watu wavivu hawataki kulima wala kujishughulisha.
2) Nishati (kuni) wanayotumia kupikia wanatoa wapi ndani ya hifadhi na wakati hawaruhusiwi kukata miti? Jibu ni kwamba wanakata miti kimyakimya, je ni miti mingapi inakatwa ili kukidhi mahitaji ya watu zaidi ya laki moja na ishirini kwa siku, je kwa mwaka ni miti mingapi? Wakiendelea kuishi Kuna utunzaji wa uoto wa asili hapo? Acheni propaganda za kijinga, wamasai waondoke waache nature ijiachie. Ule ni urithi wa dunia, sio urithi wa Masai
 
Kwa nini mnapenda kusema watu wanatumiwa? Hata mimi ninajua eco system yeyote inahitaji balance. Kuna kiwango cha activities za binadamu ambazo zinaweza kuvumiliwa, zaidi ya hapo tunaua hifadhi. Wamasai na mifugo yao wamezidi idadi inayo stahimilika. Inabidi tuchague moja, tukubali Ngorongoro iwe boma au iendelee kuwa hifadhi. Hatuwezi kuwa na vyote viwili.

Amandla...
Umemaliza master 👍🙏
 
Back
Top Bottom