Mpwa nae... umbea wa huyu kamegwa na yule na yule kalawatiwa na huyu ni tofauti na umbea wa mimba ile ni ya
warumi na hii ni ya
chige coz' mimba haithibitishwi kwa sababu tu fulani kamegwa na fulani! Kutokana na interval ya mwanamke kumegwa na wanaume wawili tofauti, ni mwanamke mwenyewe ndie pekee anaeweza ku-anticipate kwamba mimba hii ni ya fulani lakini ikiwa amemegwa katika siku zinazofuatana (au siku hiyo hiyo) na wanaume wawili tofauti katika kipindi ambacho mwanamke yupo kwenye ovulation period, hapa akikamata mimba hata mwenyewe hawezi kufahamu mimba ni ya nani.... DNA lazima itumike unless au amemegwa na mzungu kisha mwafrika na mtoto akamfuata mmoja wao!
Mpwa, hapo ndipo tunapotofautiana mimi na wewe... mimba is a pure science hakuna blah blah cjui umbeya ukasema mimba fulani ni ya fulani unless kama una uhakika kwa 100% kwamba mwanamke huyu, yai lake linakuwa productive wakati fulani na wakati huo alimegwa na fulani PEKE YAKE kinyume chake kitabaki kuwa blah blah tu!