Na upande wa pili je? Usiniulize kuhusu hilo mwenyewe keshasema kuna watu anataka kuwatoa pesa sasa mimi mwenzio nitaishia kufungwa tu!
Hahahahaaa
ila afya yake mmh....
Wala sizijui.
Namaanisha AMEKONDA!
Marhaba toto,ni nguvu za kupigana na mayweather 😜😜😜
Ahsante sana, nlikumiss
Huyu dada nilimuona IG saloon ya Twaiba anapambwa.. Kumbe alikuwa anaenda olewa!
uislamu mwisho wake wa4 lakini huu ni ukandamizaji na maonezi dhidi ya wanawake...watu huoa tu ili aonekane ilihali nafsin hana uhitaji wa nyama aina moja tofaut mabutcher tu!!
hadi uzuri umeisha mmh labda wake zake wanamtumia sana wake wanne si mchezo kila siju lazma awe bize ratiba inakuwa tight kama ya British Air waysamekonda, sijui kwanini
simwachii Mungu namwachia alosaini hii sheria lolUnamwachia Mungu
Anatimiza nguzo tano za kiislam!