Hapo itakua imependwa pesa tu. Alafu jamaa kama amekonda hivi.
Makubwa
Mke wa 3 huyo?????
Maulid hajaanza kukonda leo! Nakumbuka mara ya mwisho kumuona akiwa anatangaza habari za michezo ITV nilishtuka sana kumuona maana alikua kakonda kwelikweli.
Nikamtafuta insta ili nijidhihirishie,nikakuta ni yaleyale!
Huyo sasa amezidi alafu huyo mke anaonekana hana furaha ya kuolewa au kwa kua wako wengi haha
Hata kama,habari za huyu bwana nzito naogopa mie!
Mimi sioni kosa lake hapo, kwani kitabu kinaruhusu mwisho wangapi? Nini cha ajabu kama anatumia peza aliyovuna kwenye mkataba mpya na EFM?
Wapigwe tu maana hamna jinsi.
Mbna km unahukumu afya ya mwenzako...unataka kumaanisha nn
Maulid hajaanza kukonda leo! Nakumbuka mara ya mwisho kumuona akiwa anatangaza habari za michezo ITV nilishtuka sana kumuona maana alikua kakonda kwelikweli.
Nikamtafuta insta ili nijidhihirishie,nikakuta ni yaleyale!
Zipi hizo mama yangu.
Ulivyoisimamishia kifua hii habari.., ka mke mwenza!!
Wanne kwa ndoa, watatu kwa anaoishi nao.
Mmoja waliachana.
Hahahahaaa naona chemistry imegoma kabisa!
Ila kuna wanawake wana mioyo migumu sijapa kuona!