Mauji!! Nini chanzo chake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauji!! Nini chanzo chake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Harrison, May 20, 2011.

 1. H

  Harrison New Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni nini hata haya mauji kila kukicha yanatokea mapya, ni kweli siasa zinahusika mana imekuwa kama mchezo au vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo nina shaka katika hili la usalama wa Raia wasi wasi wangu usalama wa Raia na mali zake unakuja kila baada ya tukio..
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Mauaji au mauji?Tena polisi siku hizi ndio wanaongoza kuua
   
Loading...