mkuu na attend class kwa mara ya kwanza nimepata kitu aise pamoja sana kiongozi next time siwezi kulikosa darasa.sijui kama naweza kuuliza swali lililo nje ya mada/ somo la leo
ni hivi natumia kasperskey internet security, sasa nimeingiza external HDD system ikadetect malware sasa sikufix tatizo mpaka leo inadetect hiyo kitu na imekataa kufix inadai hiyo external na sina access na hiyo HDD maana haikuwa yngu sasa sijui mtaalam utanisaidiaje au kwa yeyote anayeweza kunisaidia hii kitu.