hasmol,
..zoezi kama hili limewahi kufanyika wakati wa Raisi Mwinyi na hata Mkapa.
..inatakiwa kuwa DISCOURAGE kurudi tena Tanzania.
..I dont know what that involves, lakini ndicho kinachotakiwa kufanyika.
..kwa nchi kama Marekani wameamua kuweka vikwazo kwa wahamiaji haramu waki-Latino kupata kazi, na pia wanatoa adhabu ya faini kubwa kwa kampuni yoyote itakayoajiri mhamiaji haramu.
cc
life is Short,
Jp Omuga